
Mfanyabiashara
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2022-08-18
Eneo: Dar es Salaam, Tanzania
Chande alikuwa mfanyabiashara anayefanya kazi Machinga Complex.
Alitekwa na watu waliojitambulisha ni askari polisi tarehe 18 Agosti 2022 akiwa dukani kwake Machinga Complex. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025