
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2023-10-01
Eneo: Mwanza, Tanzania
Amon alikuwa mkazi wa Mwanza.
Alikamatwa na askari wa jeshi la Polisi wakiwa na gari za Polisi Land Cruiser Pick Up mbili tarehe 1 Oktoba 2023. Hajapatikana mpaka sasa na hayupo kituo chochote cha polisi wala gerezani.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025