
Mmaasai
Hali: Asiyeonekana
Tarehe: 2022-06-09
Eneo: Loliondo, Arusha
Moloimeti alikuwa mkazi wa Loliondo.
Alitekwa na watu wenye silaha tarehe 9 Juni 2022 wakati wa oparesheni ya serikali kuhamisha watu kwa nguvu Loliondo. Baada ya wiki tatu alipatikana kituo cha Polisi akiwa na kesi ya Mauwaji.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025