Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2024-05-11
Eneo: Mwandiga, Kigoma
Lilenga alikuwa mkazi wa Kigoma.
Alitekwa tarehe 11 Mei 2024 maeneo ya Kibirizi na watu wanaodaiwa ni polisi. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025