
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2021-07-01
Eneo: Mwanza, Tanzania
Joseph alikuwa mkazi wa Mwanza.
Alitekwa Julai 2021 nyumbani kwake na watu waliojitambulisha kuwa ni askari polisi kutoka mkoa wa Mwanza. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025