
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2023-04-05
Eneo: Katoro, Geita
Mohamed alikuwa mkazi wa Katoro, Geita.
Alikamatwa na watu wengine sita (6) na maafisa waliojitambulisha kuwa ni askari polisi tarehe 5 Aprili 2023. Ndugu walifika vituo vyote vya polisi hawakumkuta. Hajapatikana mpaka leo yeye na hao wenzake.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025