
Mhadhiri
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2021-07-31
Eneo: Iringa, Tanzania
Ridhiwani alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu cha Mkwawa, tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Alipotea mkoani Iringa mwishoni mwa mwezi Julai 2021. Hajapatikana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025