
Dereva wa bodaboda
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2023-11-26
Eneo: Yombo, Dar es Salaam
Benson alikuwa dereva wa bodaboda anayefanya kazi Makangarawe.
Alitekwa na watu waliojitambulisha ni askari polisi tarehe 26 Novemba 2023 akiwa nje ya Hospital ya Makangarawe Yombo. Alikuwa akimsubiri abiria. Hajapatikana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025