
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2022-09-06
Eneo: Mbagala Kizuiani, Dar es Salaam
Yahya alikuwa mkazi wa Mbagala.
Alitekwa tarehe 6 Septemba 2022 Mbagala Kizuiani na askari polisi wakiongozwa na OC-CID Abdalah Suleiman. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025