Rudi kwenye Ukumbusho
Kennedy Mwamlima

Kennedy Mwamlima

Mtumiaji wa TikTok

Hali: Asiyeonekana

Tarehe: 2024-04-11

Eneo: Mbeya, Tanzania

Maisha

Kennedy alikuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii.

Mazingira

Alitekwa Mbeya na watu waliojitambulisha ni askari polisi tarehe 11 Aprili 2024. Alipatikana Igunga Tabora tarehe 16 Aprili 2024 akiwa ametapakaa majeraha. Alisema aliteswa katika vituo vya polisi na kuulizwa nani anamtuma kukosoa serikali TikTok.

Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025