
Mpangaji
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2024-01-01
Eneo: Chamazi, Dar es Salaam
Prosiper alikuwa mpangaji wa nyumba Chamazi.
Alitekwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wa Polisi na walikuwa wameongozana na watumishi wa TANESCO. Watekaji wao walisema nyumba yao ina deni kubwa sana la umeme yeye akajibu kuwa ni mpangaji tu awaunganishe na mwenye nyumba lakini walikataa na kuondoka naye. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025