
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2021-08-17
Eneo: Nyakato, Mwanza
James alikuwa mkazi wa Nyakato, Mwanza.
Alitekwa na askari polisi anayeitwa Sgt. Mageni Musobi kutoka kituo cha polisi Nyakato tarehe 17 Agosti 2021. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025