
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2024-04-09
Eneo: Mbagala, Dar es Salaam
Yusuph alikuwa mkazi wa Mbagala.
Alitekwa nyumbani kwake na watu wenye silaha waliojitambulisha ni polisi tarehe 9 Aprili 2024. Watu hao walipofika nyumbani walimkuta mtoto wake mwenye miaka 8 wakamwambie kamwite baba yako. Hajapatikana mpaka sasa. Jarada la uchunguzi limefunguliwa kituo cha polisi Mbagala Maturubai.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025