Rudi kwenye Ukumbusho
Shadrack Chaula

Shadrack Chaula

Raia

Hali: Alitoweka

Tarehe: 2024-08-02

Eneo: Ntokela, Rungwe, Mbeya

Maisha

Shadrack alikuwa mkazi wa Ntokela, Rungwe.

Mazingira

Alitekwa tarehe 2 Agosti 2024 kijijini kwao Ntokela. Siku 20 kabla ya kutekwa Shadrack alitolewa jela kwa michango ya watanzania walioamua kumlipia faini baada ya kufungwa jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025