Rudi kwenye Ukumbusho
Self Swala

Self Swala

Raia

Hali: Alitoweka

Tarehe: 2021-12-26

Eneo: Kariakoo, Dar es Salaam

Maisha

Self alikuwa mkazi wa Dar es Salaam.

Mazingira

Alitekwa tarehe 26 Decemba 2021 eneo la Kamata, Kariakoo akiwa na wenzake wanne. Watekaji walijitambulisha kuwa ni askari polisi. Hajapatikana mpaka sasa.

Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025