
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2024-03-02
Eneo: Kishapu, Shinyanga
Yonzo alikuwa mkazi wa Kishapu, Shinyanga.
Alikamatwa tarehe 2 Machi 2024 na askari polisi wa kituo cha Kwimba akiwa na wenzake maeneo ya Bushini-Kishapu. Wenzake waliachiwa ila yeye hajapatikana.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025