
Katibu wa chama cha NCCR Mageuzi
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2023-12-17
Eneo: Mwatulole, Geita
Hamza alikuwa Katibu wa chama cha NCCR Mageuzi mkoa wa Geita.
Alitekwa tarehe 17 Decemba 2023 nyumbani kwake mtaa wa Mwatulole na watu waliojitambulisha ni askari polisi. Hajapatikana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025