Rudi kwenye Ukumbusho
Albert Kiseya Selembo

Albert Kiseya Selembo

Mmaasai

Hali: Asiyeonekana

Tarehe: 2022-06-09

Eneo: Loliondo, Arusha

Maisha

Albert alikuwa mkazi wa Loliondo.

Mazingira

Alitekwa na watu wenye silaha tarehe 9 Juni 2022 wakati wa oparesheni ya serikali kuhamisha watu kwa nguvu Loliondo. Baada ya wiki tatu alipatikana kituo cha polisi akiwa na kesi ya Mauwaji.

Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025