
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2024-06-15
Eneo: Handeni, Tanga
Kombo alikuwa raia wa kawaida anayeishi Handeni.
Alitekwa nyumbani kwake na watu waliojitambulisha ni askari polisi tarehe 15 Juni 2024. Polisi walikanusha kuhusika lakini siku 29 baadaye walikiri kumshikilia.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025