Mtumishi wa Mahakama
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2018-03-01
Eneo: Mwanza, Tanzania
Thomas alikuwa akifanya kazi Mahakama kuu Mwanza.
Alipotea tangu Machi 2018. Hajapatikana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025