Rudi kwenye Ukumbusho
Aziz Kinyonga

Aziz Kinyonga

Raia

Hali: Alitoweka

Tarehe: 2023-02-01

Eneo: Chamazi, Dar es Salaam

Maisha

Aziz alikuwa mkazi wa Chamazi.

Mazingira

Alipotea siku kadhaa. Kwa maelezo ya mke wake, gari aina ya Toyota Noah ilifika na mtu alionekana akinyosha kidole kuonyesha nyumba yao. Watu walioshuka walijitambulisha ni askari na wakachukua laki mbili. Baadaye gari ya Aziz lilikutwa limetelekezwa Mtwara. Hajapatikana tangu tarehe 1 Februari 2023.

Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025