
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2022-07-04
Eneo: Ifunda, Iringa
Dotto alikuwa mkazi wa Ifunda, Iringa.
Alitekwa tarehe 4 Julai 2022 na askari polisi anayejulikana kwa jina la Wambura Mwita kutoka kituo cha polisi Ifunda. Hajapatikana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025