
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2021-12-26
Eneo: Kariakoo, Dar es Salaam
Rajabu alikuwa mkazi wa Dar es Salaam.
Alitekwa tarehe 26 Decemba 2021 eneo la Kamata, Kariakoo akiwa na wenzake wanne. Watekaji walijitambulisha kuwa ni askari polisi. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025