
Mwanafunzi
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2024-04-01
Eneo: Mbinga, Ruvuma
Kastory alikuwa mwanafunzi wa chuo cha SAUT, kituo cha Arusha mwaka wa tatu.
Alipotea akiwa wilayani Mbinga mwanzoni mwa mwezi Aprili 2024. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025