
Raia
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2023-11-14
Eneo: Moshi, Kilimanjaro
Jerome, anayejulikana kama Mapii, alikuwa mkazi wa Moshi.
Alitekwa na watu waliojitambulisha ni askari polisi tarehe 14 Novemba 2023 eneo la Njoro, Moshi. Hajapatikana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025