
Mzee
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2021-07-13
Eneo: Temeke, Dar es Salaam
Mzee Haji alikuwa mkazi wa Temeke.
Alichukuliwa nyumbani kwake Temeke na watu waliojitambulisha ni askari polisi tarehe 13 Julai 2021. Hajapatikana mpaka sasa.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025