
Raia
Hali: Asiyeonekana
Tarehe: 2024-06-23
Eneo: Ubungo, Dar es Salaam
Edgar alikuwa raia wa Dar es Salaam.
Alitekwa tarehe 23 Juni 2024 Ubungo. Akapelekwa kituo cha polisi OysterBay na baadaye Arusha kabla ya kupatikana tarehe 27 Juni 2024 mkoani Katavi porini akiwa ametapakaa majeraha.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025