
Mzee
Hali: Alitoweka
Tarehe: 2023-01-27
Eneo: Geita, Tanzania
Mzee Samuel alikuwa mkazi wa Geita.
Alitekwa mkoani Geita tarehe 27 Januari 2023 na askari polisi Sgt. Hamis na kupelekwa kituo cha Muriaza-Butiama, Mara. Ndugu wakamuona akiwa ametapakaa majeraha, lakini waliporudi hawakumkuta tena kituoni na hajaonekana mpaka leo.
Ukumbusho wa Tanzania 2015 - 2025